KISWAHILI FORM 1 SYLLABUS
- Mawasiliano
- Lugha kama Chombo cha Mawasiliano
- Elezea maana ya mawasiliano
- Fafanua dhima za lugha katika mawasiliano
- Fafanua matumizi na umuhimu wa lugha
- Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili
- Elezea maana ya matamshi
- Bainisha sauti za lugha ya Kiswahili
- Elezea kuhusu lafudhi ya Kiswahili
- Aina Za Maneno
- Ubainishaji wa aina Saba za Maneno
- Bainisha aina saba za maneno ya Kiswahili
- Ufafanuzi wa aina za Maneno
- Elezea maana ya kila aina ya neno
- Matumizi ya aina za Maneno katika Tungo
- Elezea matumizi ya aina za maneno katika tungo
- Matumizi ya Kamusi
- Elezea maana ya Kamusi
- Elezea jinsi ya kutumia kamusi
- Fafanua taarifa ziingizwazo katika kamusi
- Fasihi Kwa Ujumla
- Dhima ya Fasihi
- Elezea dhana ya fasihi
- Fafanua dhima za fasihi katika jamii
- Aina za Fasihi
- Fafanua dhana ya fasihi simulizi
- Elezea sifa na dhima za fasihi simulizi
- Fafanua dhana ya fasihi andishi
- Elezea sifa na dhima za fasihi andishi
- Onesha tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi
- Fasihi Simulizi
- Ubainishaji wa Tanzu za Fasihi Simulizi
- Bainisha tanzu za fasihi simulizi
- Ufafanuzi wa Vipera vya Tanzu za Fasihi Simulizi
- Fafanua vipera vya hadithi
- Fafanua vipera vya ushairi
- Fafanua vipera vya semi
- Fafanua vipera vya maigizo
- Uhakiki wa kazi za Fasihi Simulizi
- Elezea umuhimu wa uhakiki wa kazi za fasihi simulizi
- Elezea vigezo vya uhakiki wa kazi za fasihi simulizi
- Elezea uhakiki wa hadithi
- Hakiki matumizi ya semi katika hadithi
- Usimulizi
- Usimulizi wa Hadithi
- Elezea njia za usimulizi wa hadithi
- Usimulizi wa Habari
- Fafanua taratibu za usimulizi wa matukio
- Uandishi Wa Insha
- Insha za Wasifu
- Elezea hatua za uandishi wa insha
- Fafanua muundo wa insha
- Tofautisha insha za kisanaa na zisizo za kisanaa
- Uandishi Wa Barua
- Barua za Kirafiki
- Elezea muundo wa barua za kirafiki
- Ufahamu
- Kusikiliza
- Elezea mambo ya kuzingatia katika ufahamu wa kusikiliza
- Jibu maswali kutokana na habari uliyosikiliza
- Kusoma kwa Sauti
- Elezea mambo ya Kuzingatia katika ufahamu wa kusoma kwa sauti
- Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma
- Kusoma Kimya
- Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma
- Kusoma kwa Burudani
- Fafanua mambo ya kuzingatiwa katika ufahamu wa kusoma kwa burudani